X Yafungiwa Tanzania

X Yafungiwa Tanzania

🚨 Mtandao wa X (Twitter) Wafungiwa kwa Muda!

⭐⭐⭐⭐

🚀 Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imetangaza kufungia mtandao wa X (zamani Twitter) kwa muda kwa sababu za kiusalama.

🚀 Tukio hili linatokana na uvamizi wa kidigitali uliofanyika tarehe Jumanne, Mei 20, 2025 ambapo baadhi ya akaunti rasmi za serikali, ikiwemo akaunti ya Jeshi la Polisi, zilidukuliwa na watu wanaodaiwa kuwa kutoka Kenya.

🌐 Moja ya post feki zilizochapishwa ilidai kuwa Rais Samia Suluhu Hassan amefariki dunia, jambo lililosababisha taharuki kubwa nchini.

🚀 Kutokana na hali hiyo, TCRA imeamua kuzima huduma za mtandao wa X nchini hadi pale hali ya usalama na utulivu itakaporejea.

🔐 Hata hivyo, kama unahitaji kufikia mtandao huo kwa sasa, unaweza kutumia VPN kama vile Avast Secureline VPN na zinginezo kufungua huduma hiyo.

💡 Maelezo ya Ziada: Kuwa makini na habari unazoshiriki mtandaoni. Hakikisha unatambua vyanzo vya habari halali kabla ya kushiriki taarifa zozote nyeti. Uongo mtandaoni unaweza kusababisha madhara makubwa kwa taifa.

Pakua VPN Kupitia Kiungo Hiki:

Pakua Avast Secureline VPN

(Bonyeza juu kufungua kiungo kwenye tab mpya)

💬 Jiunge na Group letu la WhatsApp kwa Taarifa Zaidi:

Join WhatsApp Group

Kwa updates zaidi moja kwa moja!

#tips #tech #xblockedintanzania #cyber
@techinsiders_africa @vamelan_tech

Post a Comment

Previous Post Next Post