📡 Internet Bure 2025 - Mbinu Mpya
Unatafuta njia ya kutumia internet bila malipo mwaka huu? Upo mahali sahihi! Katika post hii, nitakuonyesha mbinu mpya kabisa ambazo unaweza kutumia kupata internet bure kwenye simu yoyote mwaka 2025!
⚡ Kumbuka: Baadhi ya mbinu hizi zinahitaji kutumia VPN au App maalum kama HTTP Injector, lakini zote ni bure kutumia.
🔧 Vitu Unavyohitaji
- Simu ya Android au iOS
- VPN kama Ha Tunnel Plus au HTTP Injector
- APN settings za bure (tutakupa hapa chini)
- Sim card ya mtandao kama Halotel, Tigo, Airtel au Vodacom
📥 Hatua za Kufuata
- Download Ha Tunnel Plus kwenye Play Store.
- Fungua app, chagua config file sahihi kulingana na mtandao wako (angalia telegram au forums za tech Tanzania).
- Bonyeza START na subiri kuunganishwa.
- Fungua browser au app yoyote kujaribu kama internet imeanza kufanya kazi.
Kwa APN settings mpya zinazofanya kazi 2025, unaweza kutumia:
APN: internet
Proxy: 127.0.0.1
Port: 8080
Proxy: 127.0.0.1
Port: 8080
🎉 Asante kwa kufika hapa!
Ili upakue config files, tafadhali tembelea ukurasa huu wenye matangazo kwanza👇
Nenda Kupitia MatangazoBaada ya hapo, unaweza kupakua moja kwa moja:
Pakua: Halotel Config Pakua: Tigo Config Pakua: Vodacom Config FungaKama njia hii imekusaidia, usisahau kushare post hii kwa marafiki zako! Pia acha comment chini kwa changamoto yoyote uliyo nayo ili tukusaidie.

💬 Maoni na Maswali