Trick ya Kusoma Ujumbe Uliofutwa

Trick ya Kusoma Ujumbe Uliofutwa

TRICK YA KUSOMA UJUMBE WA WHATSAPP ULIOFUTWA (BILA KULIPIA)

Umeshawahi kuona mtu ametuma ujumbe WhatsApp halafu akaufuta kabla hujausoma?
Sasa unaweza kuusoma hata kama umefutwa!

  • Chaguo 1: Pakua app ya Notisave kutoka Play Store, kisha toa ruhusa ya kusoma notifications. Ujumbe wote wa WhatsApp utahifadhiwa — hata kama utapigwa delete.
  • Chaguo 2: Kwa simu zenye Android 11+, nenda Settings > Notifications > Notification History > Weka ON. Utaona ujumbe hata kama umefutwa.
  • Chaguo 3: Tumia app ya NotificationLog kutoka F-Droid — haina matangazo, haina internet, na ni salama kwa faragha yako.

Pakua App Zifuatazo Kwa Urahisi:

👇 Bonyeza kila link kufungua app husika:

📥 Notisave (Play Store)

📥 NotificationLog (F-Droid)

Zingatia: Kutoa ruhusa ya notification ni muhimu kwa kazi ya apps hizi.

🔐 Ujumbe wa siri? Haupotei tena!

Follow our WhatsApp Channel kwa maujanja zaidi:

🦅 Vamelan Tech Channel

ℹ️ Maelezo Muhimu:
Apps hizi haziwezi kufufua ujumbe uliotumwa kabla hujaanza kuzitumia. Hifadhi inaanza pale tu unapoweka app kwa mara ya kwanza. Pia hakikisha simu yako haizuii apps hizi kufanya kazi nyuma ya pazia (background).

Post a Comment

Previous Post Next Post