YOUTUBE PROMOTION COURSE

🎬 YouTube Promotion Course

Jifunze mbinu za kupromote video zako kwa kisasa na kusponsor kupitia Google Ads

⏳ Video Inapremiere Katika:

Loading...

🖼️ Hatua ya 1: Thumbnail Inayovutia

Tumia Canva/Pixellab kutengeneza picha yenye maandishi makubwa, uso wa mshangao, na rangi kali.

📛 Hatua ya 2: Keywords & Title

Title yenye maneno yanayotafutwa sana. Mfano: "Jinsi ya Kupata Views 2025". Hashtags: #viral, #youtube.

📲 Hatua ya 3: Sambaza Video

  • WhatsApp Groups & Status
  • TikTok (bio link), Instagram Stories
  • Telegram, Facebook Groups

💰 Hatua ya 4: Sponsorship kwa Google Ads

  1. Tembelea ads.google.com
  2. Chagua "Video Campaign"
  3. Weka video link yako
  4. Target Tanzania, Umri 18–34
  5. Bajeti: TZS 3,000+
  6. Bofya Start → Utaanza kupata viewers
💡 Ushauri: Weka wito wa "Subscribe" ndani ya video zako, na usisahau links kwenye description yako.

🔥 Usikose Video Zetu Mpya!

Bonyeza hapa chini kusubscribe kwenye channel yetu ya YouTube

📍 Subscribe Now
YouTube

🎬 Video Mpya Inakuja LIVE!

Habari! 👋

Tungependa kukujulisha kuwa tunapremiere video mpya kabisa kwenye YouTube 📺! Video hii inafundisha mbinu za kufanya promotion ya video na kupata views halali kupitia Google Ads.

Usikose kutazama na kushiriki nasi LIVE!

Premiere: Juni 30, 2025 | Saa 2:00 Usiku (GMT+3)


Asante kwa kuwa sehemu ya familia ya Vamelan Academy ❤️
Endelea kutufuatilia kwa mafunzo zaidi ya YouTube, TikTok na SMM.

Post a Comment

Previous Post Next Post