HALOTEL USITUMIE TENA VPN NA UNAWEZA UKA SAHAU KUHUSU KUNUNUA BANDO

Halotel Tanzania - Faida za DailyCheck Halo Bonus

HALOTEL TANZANIA - DAILYCHECK HALO BONUS

Kama una line ya mtandao wa Halotel, huna haja ya kuhangaikia VPN za kukaa online, kwani hii inazidi Airtel VPN zake.

Halotel kwasasa wanasystem yao ambayo imekuwa kama mbadala wa ile inshu ya kutikisa kupata bonus. Sasa hivi mambo yanaenda automatically.

Faida za DailyCheck Halo Bonus

Ukiwa na app yao wanakupa:

  • MB160 kila siku ukifungua app yao bure
  • DK5 pamoja na point mpaka 100 (TuzoPoint)

Utaratibu wa Kupata Bonus

Huu ni mfumo unaoitwa DailyCheck Halo Bonus ambapo unapewa bonus kila siku inayojirudia kila baada ya saa 6 na dakika 1 usiku kila siku (24hrs).

Ukibana matumizi, hii ni kama bando la shilingi 500!

Jinsi ya Kupata App ya Halotel

Jina la App: MyHalotel Tanzania

Bofya hapa kupakua app kutoka Google Play Store

Baada ya kusakinisha, fanya kuregister. Kama ni mara yako ya kwanza kujiunga na app yao, utapata 1.2GB FREE!

Maelekezo ya Ziada

Ishi kibosi usikose kuwa online - mambo ni mazuri na mengi yanakuja!

Kumbuka kufungua app kila siku kupata bonus yako ya kila siku.

2 Comments

Previous Post Next Post