HALOTEL TANZANIA - DAILYCHECK HALO BONUS
Kama una line ya mtandao wa Halotel, huna haja ya kuhangaikia VPN za kukaa online, kwani hii inazidi Airtel VPN zake.
Halotel kwasasa wanasystem yao ambayo imekuwa kama mbadala wa ile inshu ya kutikisa kupata bonus. Sasa hivi mambo yanaenda automatically.
Faida za DailyCheck Halo Bonus
Ukiwa na app yao wanakupa:
- MB160 kila siku ukifungua app yao bure
- DK5 pamoja na point mpaka 100 (TuzoPoint)
Utaratibu wa Kupata Bonus
Huu ni mfumo unaoitwa DailyCheck Halo Bonus ambapo unapewa bonus kila siku inayojirudia kila baada ya saa 6 na dakika 1 usiku kila siku (24hrs).
Ukibana matumizi, hii ni kama bando la shilingi 500!
Jinsi ya Kupata App ya Halotel
Jina la App: MyHalotel Tanzania
Bofya hapa kupakua app kutoka Google Play Store
Baada ya kusakinisha, fanya kuregister. Kama ni mara yako ya kwanza kujiunga na app yao, utapata 1.2GB FREE!
Maelekezo ya Ziada
Ishi kibosi usikose kuwa online - mambo ni mazuri na mengi yanakuja!
Kumbuka kufungua app kila siku kupata bonus yako ya kila siku.

Nikakuomb unitengenezee ukasinguaaa
ReplyDeleteTunalifanyia kaz leo ña limeshakamilika
Delete