Mambo ya Kuangalia kwenye WhatsApp
💠 Fahamu baadhi ya mambo ukifanya kwenye WhatsApp utafungiwa akaunti yako siku yoyote jihadhari!
1️⃣ Kutumia WhatsApp Mods
- Ukitumia WhatsApp GB, utakuwa na uwezo wa kupost status mpaka ya dakika 5, kutuma files kubwa kubwa, kuchukua status za wenzako na nk lakini WhatsApp watakufungia muda wowote.
- Program nyingi za WhatsApp mods zina usalama mdogo, hivyo ni rahisi mtu kudukuliwa kupitia link anazotumiwa.
2️⃣ Kutuma Maudhui ya Kuogopesha na Kutisha
- Kuna baadhi ya picha, videos, documents unazotuma kwa watu kama sio salama WhatsApp wanaweza kukufungia akaunti yako na kuifuta kabisa.
3️⃣ Watu Kukuripoti Mara kwa Mara
- Kupiga block kwa watu wengi pia ni njia moja ya kufungiwa akaunti yako.
4️⃣ Kutumia WhatsApp kwa Ajili ya Ku-Hack
5️⃣ Sending Spam
- Kutengeneza ma groups mengi ya WhatsApp kuna limit, jihadhari.
🔻 Jihadhari sana kutumia WhatsApp mods, sio salama kwako na ni rahisi kufungiwa akaunti yako. 🔺

Nakubali kazi baba ,🤝🤝
ReplyDelete