🦅 JINSI YA KUANGALIA NAMBA YA NIDA 🦅
1. Kupitia Tovuti Rasmi ya NIDA 🌐
- Fungua kivinjari kwenye simu yako au kompyuta.
- Tembelea tovuti rasmi ya NIDA kwa kubofya kitufe hapa chini.
- Jaza taarifa unazohitajika, ikiwa ni pamoja na:
- 🏃 Jina la Kwanza
- 🏃 Jina la Mwisho
- 🏃 Tarehe ya Kuzaliwa
- 🏃 Jina la Kwanza la Mama
- 🏃 Jina la Mwisho la Mama
- Thibitisha kuwa wewe sio roboti kwa kuingiza neno unaloonyeshwa kwenye picha.
- Bofya kitufe cha Angalia ili kupata namba yako ya NIDA.
2. Kupata Namba ya NIDA kwa USSD 📱
- Piga *152*00# kwenye simu yako.
- Chagua Ajira na Utambuzi kwa kubonyeza namba 3.
- Chagua NIDA kwa kubonyeza namba 2.
- Ingiza majina yako matatu uliyojisajili (mfano: Damy Gaso Tech).
- Ingiza namba ya simu uliyojaza kwenye fomu ya maombi ya NIDA.
- Thibitisha maombi yako na subiri matokeo.
Twenzetu 🏃🏽♂️🏃🏽♂️ Usikose kupata namba yako ya NIDA kwa urahisi na haraka!
