TRICKS ZA WHATSAPP🔥
Tricks za Whatsapp zipo Tano kwa sita 👇
1. (*)
2. (1.)
3. ( _ )4. ( ~ )
5. (**)
6. (/ )
jinsi zinavo tumika👇
1. (*)👈 ukiandika katika keyboard Yako ya Whatsapp alfu akaacha na fasi inageuka na kua kidoto (.) mfano
* Hhhhhjjjjggv
* Hhhhhjjj
* Bbbbbn
* Hhhhhj
👆Ivo unaweka nyota unaruka nafasi inakuwa kidoto na ukiruka inakuja kama ivo list🙏
2. (1.) 👈 Iyo Moja na kidoto ukiandika katika keyboard Yako alfu ukaacha nafasi mfano
1. Hhhhhjjjj
2. Ssggssjshsg
3. Gdhhdjjdh
👆ivo (1.) unaacha nafasi Kisha ukisha andika sms yako Moja ruka itakuja namba mbili 👉(2.)..... itakuja nyenyew bila ww kuweka 🙏
3. ( _ )👈 Hiyo alama ukiandika katika keyboard Yako mwanzo wa sms na mwisho wa sms herufi Zina lala mfano
hahauaua
hhahahha
jjahshhsj
👆ivo usiache msitari, andika sms yako mwanzo ukiwa ushaweka alama iyo mwisho wa sms utaweka Tena alama zitalala kama ivo🤛
4. ( ~ )👈 Hii alama ukiandika mwanzo wa SMS Yako weka iyo alama~ na mwisho basi iyo sms itajipiga mstari kati mfano
hhahahha
hahaagag
shhsgzjzu
👆ivo usiache msitari, andika sms yako mwanzo ukiwa ushaweka alama iyo mwisho wa sms utaweka Tena alama zitalala jipiga msitari🙏
5. (**)👈 Izo nyota mbili ukiandika katika keyboard Yako, mwanzo wa sms uwateka nyota 1 na mwisho wa sms uwateka nyota ya 2 na sms Yako itakua imekoza mfano
Hhhhdhd
Hhshdhd
(Gddghd
👆Ivo andika nyota mwanzo wa sms na utamalizia nyota ya 2 mwisho wa sms 🙏
6. ( / )👈 Iyo alama inafanya kazi kwenye Whatsapp bisssnes, iyo alama / ukibonyeza kina kuja kitu Kunaitwa
"Quick Replies" kutakua na vitu vya biashara Yako kama bisssnes profile, address, thanks na hours 🙏
Zingatia ivi vitu kuruka na kuacha nafasi📌
fanya uone mwenyewe ina kua 💪
#bright life with us
Join for more updates
.jpg)