TikTok imerejea na kuanza kurudisha huduma zake nchini Marekani baada TikTok imerejea na kuanza kurudisha huduma zake nchini Marekani baada ya Rais Mteule Donald Trump kuruhusu app hiyo kuendelea kufanya kazi Marekani.
ya Rais Mteule Donald Trump kuruhusu app hiyo kuendelea kufanya kazi Marekani.
TikTok ilikuwa imeacha kufanya kazi kwa watumiaji wa Marekani kutokana na sheria iliyopiga marufuku app hiyo. Trump amesema atatafuta suluhisho la kuirudisha TikTok, ikiwemo uwezekano wa kushirikiana na kampuni za Marekani.
Kwa sasa, TikTok imerudi na inaendelea kufanya kazi kwa watumiaji wa Marekani.
Join for more
CLICK HERE TO JOIN
Cc @brvamelan
TikTok imerejea na kuanza kurudisha huduma zake nchini Marekani baada TikTok imerejea na kuanza kurudisha huduma zake nchini Marekani
byVamelan_Tech
•
0
