No title

OCEAN OF GAMES VIRUS 🦠 



👨‍💻Kama Wewe Ni Mpenzi Wa Games Basi Website Hii Utakua Unaifaham Au Modder Anaeitwa "FitGirl". Moja Ya Issue Ambayo Ipo Katika Website Ya Hawaja Jamaa Ni Kuwepo Kwa Virus Ambayo Inaingizwa Kipindi Una-install Baadhi Ya Magemu Yao.


Virus Huyu Huwa Anaenda Kuondoa Mifumo Yote Ya Ulinzi na Kuondoa Uwezo wa Wewe Kufix Windows Yako wa Wepesi Yaani Tunasema Anafunga Loopholes Zote Zenye Kuweza Kufix.


Virus Huyu Amelipotiwa Kuwa na Jina la "Avengers AIO" Ndani Ya Installation Folder baada ya Kuextract Huwa Yupo, Bytheway Huyu Sio Virus 🦠 Actually, Bali Ndani Yake Pindi Inafanya Executions Zake itapass Hapo Virus Huyo. Utaona Prompt Moja ya Ku-disable Window User Control 🛂 Ujue hapo Ndio Mambo Yanaiva Behind 🗣


Chakufanya Tafuta Website Nyengine Safe Au Usiinstall Virus Huyo Bali Soma Requirements na Uinstall Manually. Then execute Game Normally.


Utajuaje Kama Virus Tayari Yumo, Windows Defender Service Haitakuwepo, Hutaweza Kureset Windows N.k


ALRIGHT 🆗👍


Mojawapo Ya Effects za Virus 🦠 Huyu

https://t.me/Tech_Orbit/4613


•Anafuta Moja kwa Moja Windows Defender

* Anafanya Computer Yako Kuwa Slow

* Anarun Bitcoin mining kwa Background

* Inafanya Computer Yako Kurun Scripts Na Exe files Mbalimbali Bila Kufaham

* Anaendlea Kufuta na Kubadilisha Windows registry Value zake Kwenda 1



👉Mda Mwengine Virus Wao Anapatikana Kwenye "Step 1 - Extract Setup.rar" au "Step 2 - Extract Setup.rar" Kuwa Makin Sana Na Mahala Unapo Download programs zako, Hakikisha Unafanya Review Ya Site Hiyo Before Haujafanya Installations. Pia Hakikisha  Unaupdate" Windows Defender Tool" na Uisikilize  Vizuri incase Utaona Detection zozote 🤓👨‍💻


👉Unahitaji Website Legit and Safe 80% Ya Kudownloadia Magem na Programm nyengine Za PC yako?🤔, Then Tufahaamishe Kwa Kucomment chini ya Post hii , Kulike na Kushare Link na Marafiki kIsha Tuambie Unatumia Windows Gani Kwa Sasa Na Unapatwa na Shida Gani?👨‍💻


ALRIGHT 🆗👍

Post a Comment

Previous Post Next Post