Fungua Whatsapp Yako
Nanda kwenye setting ya Whatsapp ukisha fika katika setting⚙️ Yako utaona juu Kuna account Yako ya Whatsapp, jina lako na profile ya mwanzo kabisa katika setting ⚙️, kwa pemben mkono wa kushoto utaona sehemu kama ya "SCAN QR CODE" ukibonyeza utakutana utakutana na 👇.
"SHORT LINK QR".
My code. Scan code
_________
_____ 😁 _____
| ʟɪᴋᴇ ғᴀᴛʜᴇʀ ʟɪᴋᴇ sᴏɴ |
| ᵂʰᵃᵗˢᵃᵖᵖ ᵇⁱˢˢˢⁿᵉˢ ᵃᶜᶜᵒᵘⁿᵗ [
| [
| _ _ |
| |_| |_| [
| |
| |
| 📞 |
| |
| |
| _ |
| |__| |
| |
| |
|____________ |
👆 Utaona icho kitu katika "short link qr" mkono wako wa kulia Kuna vidoto 3 utabonyeza "EDIT" utakutana na iyo short link
Chini kua sehemu ya kushera na view qr code, chini yake Kuna sehemu ime andikwa
"message"
Utabonyeza sehemu ya kuandika utaandika chochote kile ambacho unataka, Link ukitaka unaweka, iyoo Yani kama mtu akibonyeza Link yako atapelekwa kwenye inbox Yako Moja kwa Moja na katika sehemu yake ya kuandika yatakaa maandishi kama kaandika yeye🫴🔥
Mfano wa link yangu 👇
https://wa.me/message/RHZ5EQYGRVR3J1
.jpg)