Facebook Bure kwa Halotel
Jinsi ya kutumia Facebook bila kutumia data
Habar za muda huu members wangu, japo hamtaki kushare link wala kureact 😒, but still tuna keep pushing forward.
𝐌𝐒𝐈𝐒𝐀𝐇𝐀𝐔 𝐊𝐔𝐑𝐄𝐀𝐂𝐓 𝐒𝐀𝐒𝐀
Ili kutumia Facebook Bure, inabidi uwe na:
- Lain ya Halotel 😁
- Uwe na Facebook Lite
📌 Huduma hii ni kwa lain za Halotel tuuuu. Kama una Facebook ya kawaida, utatumia data kama kawaida.
Jinsi ya KUSET:
- Juu kabisa utaona neno Switch Mode.
- Utabonyeza kutoka Data Mode kwenda Basic Mode.
Kwa msaada zaidi DM 👉 +255693585988
🧠 “© vamelan_tech”
