UMEMUAZIMA MTU SIMU YAKO? ⭕️
Unataka Kuona Amefungua Nini? ⭕️
✅ Let's go to see how...
- Fungua simu yako katika kipengele cha PHONE (unapotumia kuandika Namba ya Simu/Vocha).
- Bonyeza ##4636##.
- Ikifunguka, Bonyeza sehemu imeandikwa USAGE STATISTICS.
🔰 Hapo utaweza kuona kila sehemu ambayo mtu huyo ameweza kufungua na itakuinyesha Muda, Tarehe na ametumia muda gani sehemu hiyo. 🔰
