Jinsi ya Kutengeneza Kadi ya Siku ya Kuzaliwa 🎉
Fuata hatua hizi kutengeneza kadi ya kipekee ya siku ya kuzaliwa kwa ndugu, rafiki au mpenzi wako! 🥳
2. Jaza Maelezo
Andika jina la anayesherehekea, umri wake na ujumbe wa siku ya kuzaliwa.
3. Bonyeza "Create"
Baada ya kujaza taarifa, bonyeza kitufe cha "Create" ili kupata link ya kadi yako.
4. Nakili Link
Baada ya kubonyeza "Create," link yako ya kadi itaonekana. Nakili link hiyo.
5. Tuma kwa Rafiki
Tuma link hiyo kupitia WhatsApp au mitandao mingine ya kijamii.
