Pakua BlueStacks Emulator 📥
Bofya kitufe hapa chini kupakua BlueStacks moja kwa moja kwenye Windows.
📥 Pakua SasaJinsi ya Kufunga BlueStacks
Fuata hatua hizi ili kufanikisha usakinishaji wa BlueStacks kwenye kompyuta yako:
- Baada ya kupakua faili, nenda kwenye Downloads na fungua faili la BlueStacks.
- Bonyeza "Install" na subiri mpaka usakinishaji umalizike.
- Baada ya usakinishaji kukamilika, fungua BlueStacks.
- Ingia kwa kutumia akaunti yako ya Google ili kuweza kupakua apps kutoka Play Store.
- Sasa unaweza kutumia programu za simu moja kwa moja kwenye kompyuta yako!
Jiunge na Channel Yetu WhatsApp!
Pata taarifa mpya na matangazo moja kwa moja kwenye WhatsApp.
📢 Jiunge Sasa