🔥 Aina za Mashambulizi ya Kihacker Unazopaswa Kuzifahamu 🔥
1️⃣ Spyware 🕵️♂️💻
Hizi ni malware zinazotumika kupeleleza vifaa vya wahanga. Mfano ni Spy App inayoweza kufuatilia simu ya mtu.
🌍 Website yao2️⃣ Phishing 🎣📩
Hii ni mbinu ya kudanganya watu kutoa taarifa zao binafsi kupitia links bandia.
3️⃣ Screen Control / RAT 🖥️🔴
Hacker anaweza kudhibiti simu au kompyuta yako na kuona kila unachofanya.
4️⃣ WiFi Attacks 📶💀
Hackers hutengeneza WiFi bandia ambazo zikitumika huleta madhara kwenye kifaa chako.
5️⃣ Malicious Apps 📱☠️
Apps zenye madhara zinaweza kupeleleza, kuharibu simu au kudai malipo ili ufunguliwe data zako.
6️⃣ Ads Clicking Attacks 🎯🚨
Epuka kubonyeza matangazo ya ajabu kwani yanaweza kukupeleka kwenye tovuti za hatari.
7️⃣ Email Attacks 📧⚠️
Hackers hutuma email za udanganyifu zenye malware au phishing links.
🚨 Jilinde kwa tahadhari hizi:
- ✅ Usibofye links usizozijua
- ✅ Tumia antivirus bora
- ✅ Usiunganishe kwenye WiFi za bure bila uhakika
- ✅ Weka two-factor authentication (2FA)
- ✅ Usidownload apps nje ya Play Store au App Store
