![]() |
25-January-2025
Ni tukio la ajabu ambalo linasemakana hutokea kila baada ya miaka billion 369.
Hata hivyo wanasayansi wamekanusha na kusema hakuna matarajio ya mpangilio wa sayari katika siku hiyo.
Walakini January na February sayari kadhaa zitakuwa zikionekana angani ambapo VENUS na SUTURN zitaonekana upande wa Magharibi wa anga huku MARS na JUPITER zikiwa upande wa Kasikazini Mashariki wa anga.
SAYARI ZOTE ZITAONEKANA KWA MACHO BILA MSAADA WA DARUBINI .
Uranus na Neptune pekee ndizo zitakazo hitaji msaada wa darubini kuziona.
Mpangilio kama huu sio wa mstari mmoja ila itachukuwa tena miaka kadhaa kuonekana tena kwenye anga la dunia.
Kwa walioko Tanzania ni vyema ukatafuta maeneo ya uwazi mkubwa na giza ili kufurahia muonekano wa sayari izo.
Together let's enjoy the theatre 🎬😋
.jpg)