Dark Web ni nin

                                           


? (Kwa Ufupi). 

► Ni Mtandao siri ambao Unaweza Kuingia ikiwa una Kivinjari (Browser) au Software maalumu.


Vitu gani Hasa Vinapatikana Dark Web?

► Vitu vya Siri, Maudhui yaliyo nje na Sheria za Nchi Utayakuta huko ikiwamo Uuzaji wa Madawa ya Kulevya, Kuuza Watoto, Biashara za Ngono, Uvujishaji wa Taarifa za Siri za Serikali na Mengine mengi.


Je, Nitawezaje Kutumia Facebook nikiwa Dark Web? (Swali la Ndugu yetu Pichani) 

►  Mwanzo ili Kutumia Facebook katika Dark Web ulikuwa ukitumia Address: 👉 facebookcorewwwi.onion

► Kwasasa ili Kutumia Facebook katika Dark Web unatumia Address: 👉 www.facebookwkhpilnemxj7asaniu7vnjjbiltxjqhye3mhbshg7kx5tfyd.onion



Ungependa Kuifahamu zaidi Dark Web? Kaa Hewani, Nitaandaa Makala nzuri zaidi kuhusu Somo hili very soon na Nitawaleteeni hapa na Katika YouTube yangu.


Join Channel @brvamelan

Post a Comment

Previous Post Next Post